Monday, February 20, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMTEMBELEA BABA MZAZI WA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA-KATAVI

Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Baba mzazi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Exavery Kayanza Pinda, wakati alipokuwa akipita kuelekea Kijiji cha Mwamapuli akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Katavi jana, Februari 20. 2012. Kulia nia Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Eng. Stella Manyanya. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mama Asha Bilal,akisalimiana na Mama mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Albetina Kasanga, wakati wakiwa katika ziara ya Mkoa wa Katavi jana Februari 20, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR


No comments:

Post a Comment