Saturday, March 3, 2012

YANGA LEO KUONYESHA UBABE MBELE YA ZAMELECK?

Baadhi ya mashabiki wa Klabu ya Yanga wakiwa katika uwanja wa Taifa wakishangilia timu yao wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara.Leo macho na masikio ya Watanzania hasa wapenda soko yapo Cairo Misri.

No comments:

Post a Comment