Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Bw.Matina Nkurlu akionesha nambari ya Mshindi wa Droo kubwa ya mwezi ya kumpata mshindi wa Milioni 10 wa promosheni ya M-PESA,ambapo Mkazi wa Kitangiri Mkoani Mwanza Bw.Revocatus Mkama amejishindia fedha hizo,wanaoshuhudia kushoto ni Mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bw. Bakari Maggid,kulia ni Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom Bi. Reenu Verma.
Muendeshaji wa mfumo wa Teknologia ya habari na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Tulisindo Rashid kushoto,akifuatilia jinsi komputa inavyochezesha nambari za washiriki wa Droo kubwa ya mwezi ya kumpata mshindi wa Mlioni 10 wa promosheni ya M-PESA, ambapo Mkazi wa Kitangiri Mkoani Mwanza Bw.Revocatus Mkama amejishindia fedha hizo,wanaoshuhudia wa pili toka kushoto ni Mkaguzi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Bw. Bakari Maggid,Meneja Mawahusiano Matina Nkurlu, Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom Bi. Reenu Verma
Meneja Mahusiano wa Vodacom Tanzania Bw. Matina Nkurlu akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa kuchezesha Droo kubwa ya mwezi ya kumpata mshindi wa Milioni 10 wa promosheni ya M-PESA,ambapo Mkazi wa Kitangiri Mkoani Mwanza Bw.Revocatus Mkama amejishindia fedha hizo,Jumla ya shilingi Milioni 300 zimetolewa kwa washindi wa promosheni hiyo tangia ianze kuchezeshwa,Kulia ni Mtaalamu wa huduma za ziada kwa wateja wa Vodacom Bi. Reenu Verma.
No comments:
Post a Comment