Sunday, June 10, 2012

KAMERA YA STAR TV YAHARIBIKA TAIFA

 Mpiga Picha wa Kituo cha Televisheni cha Star Tv  Methew akiangalia kamera yake baada ya kupigwa na mpira na kuharibika wakati wa mchezo wa Stars na Gambia
 Duu ilikuwa ni kombola babu kubwa.
MAMAAA, Mpiga Picha wa Kituo cha Televisheni cha Star Tv akiangalia kamera yake baada ya kupigwa na mpira na kuharibika wakati wa mchezo wa Stars na Gambia

No comments:

Post a Comment