Wednesday, June 6, 2012

KCB TANZANIA YAZINDUA HUDUMA MPYA YA DISPORA BANKING.

 Mwenyekiti Mtendaji wa Benki ya KCB Tanzania DK Edmund  Mndolwa akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa huduma ya KCB DIASPORA BANKING uliofanyika leo  Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya KCB Tanzania wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa huduma mpya ya KCB DIASPORA BANKING iliyoanzishwa na benki hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Masoko na Mahusiano wa Benki ya KCB Tanzania Christine Manyenye akifafanua kuhusiana na huduma mpya iliyoanzishwa na benki hiyo ya KCB DIASPORA BANKING wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
  Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya KCB Tanzania wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa huduma mpya ya KCB DIASPORA BANKING iliyoanzishwa na benki hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya KCB Tanzania wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa huduma mpya ya KCB DIASPORA BANKING iliyoanzishwa na benki hiyo wakati wa hafla ya uzinduzi iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti Mtendaji wa Benki ya KCB Tanzania Dk Edmund Mndolwa, akizindua rasmi huduma mpya inayotolewa na KCB DIASPORA BANKING, Katikati ni Mmoja wa Mameneja wa benki hiyo SHOSE KOMBE. Anayeshuhudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo MOEZ MIR.

No comments:

Post a Comment