Bango la Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania TPSF, likiwa limewekwa nje ya viwanja vya Mnazi Mmoja kuashiria sherehe za Utowaji wa Ruzuku kwa wajasiliamali.
Khadija Design Textile and Hand
Mjasiliamali kutoka Masai mkoa ni Mtwara Benedetha Ndemanga wa Kampuni ya Hand Craft akifunga korosho katika mifuko yake katika Maonyeshona sherehe za utowaji wa Ruzuku kwa wajasiliamali yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam. yaliyoandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF)
Meneja Masoko wa Benki ya PBZ Seif Sulman akimsikiliza mmoja wa wateja wake waliotembelea katika banda la benki hiyo wakati wa Moanyesho na sherehe za utowaji wa Ruzuku kwa wajasiliamali yanayoendelea katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Washiriki walioshiriki katika Moanyesho na sherehe za utowaji wa Ruzuku kwa wajasiliamali wakionyesha bidhaa zao mbalimbali katika maonyesho hayo.
No comments:
Post a Comment