Mashabiki wa timu ya Taifa stars wakishuhudia mchezo wa taifa stars na Ghambia,
Wachezaji wa timu ya taifa taifa Stars wakiwafanya mazoezi,kabla ya kuanza kwa mchezo wa kufuzdhu kombe la dunia dhidi ya Ghambia.
Kikosi cha Ghambia wakiimba wimbo wa taifa w nchi yao.
Kikosi cha timu ya Taifa Taifa Stars wakiwa katika picha ya pamoja. ilishinda 3-1
Timuya taifa ya Ghambia wakiw katika picha kabla ya kupewa kichapo cha mabao 2-1 na Taifa Stars.
GHAMBIA timu
Ghambia wakishangilia bao lao la kwanza
Bwana samata akiwania mpira na wachezaji wa Ghambia .
Mrisho ngasa akijalibu kuwatoka wachezaji wa Ghambia.
Ghambia yalala kwa 2-1 dhidi yanTiafa stars.
Kipa wa Ghambia akiwa hoi baada yankupata mshikeshike .
Mbwana Samata akiwatoka waxmmoja wa wachezaji wa Timu ya Ghambia Taifa stars ilishinda 2-1
No comments:
Post a Comment