Wednesday, August 8, 2012

MAMBO YA VODACOM TANZANIA

vimwana hawa wa mkoa wa Tanga wakiwa katika chatingi na facebook kutumia mtandao wa vodacom ,kulia ni Caloryne na kuliani Fatma, wakati wa tamasha la wanjanja wa Vodacom lililowashirikisha wasanii mahiri nchini akiwemo Diamond,Nay Wamitego na wengine wengi.

No comments:

Post a Comment