Wednesday, August 29, 2012

TAFRIJA YA BITHYDAY YA KUZALIWA MH.BONIFACE S. NJOMBE ILIYOFANYIKA JANA NYUMBANI KWAKE MASAKI JIJINI DAR ES SALAAM.

 Naibu Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Tanesco Tanzania Boniface Saimon Njombe akikata keki wakati wa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake ,wanao shuhudia Kutoka kulia ni Mke wake Dafrosa Njombe, Mama mzazi Lucy Simon na Mtoto wake wa Kwanza Simon Njombe( kushoto) hafla hiyo ilifanyika Nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam.
  Naibu Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Tanesco Tanzania Boniface Saimon Njombe,akimlisha keki mama yake mzazi bi,Lucy Simon.kulia ni mkewake Dafrosa akishudia .
 Mtoto aliyezaliwa akiwakalibisha wageni waliofika kumwona mtoto,katikati ni Kessy Felex akiwa na mkewake mrs Kessy.
 Wageni waalikwa wakimsikiliza Mtoto aliyezaliwa .
 Naibu Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Tanesco Tanzania, Boniface Saimon Njombe akikata keki wakati wa kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake ,huku akishuhudia na Mke wake Dafrosa Njombe,
 Mama mzazi  Lucy Simon akimlisha keki mwanawe Boniface Njombe.
 Aksante mke wangu kwa kunitunza ,Boniface Njombe akimlisha keki Mkewake.
 Dovotha Mwambinda akimkabidhi Shampeni  Mtoto aliyezaliwa.
 Ndugu wa Boniface Njombe waliohudhuria tafrija hiyo wakipogenzana baada ya kukutana ,kushoto ni Geneveva Shonga, akisalimiana na Sistar. ambaye ni mdogo wake.
Wageni waalikwa wakipata chakula cha jioni wakati wa Tafrija hiyo.

No comments:

Post a Comment