KAZI NI KAZI, Watoto hawa pichani wakilanda katika opfisi ya baba yao ambao kwa hivi sasa watoto hao hawsomi shule tayari wamesha maliza darasa la saba mwaka jana.ujuzi huo wamefundishwa na baba yao.hapa ni eneo la Darajani Mtongani jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Kajima wakiendelea na ujenzi wa barabara ya Kilwa hapa ni eneo la Msikitini Mtogani Dar es Salaam.
Watoto wakicheza nje ya nyumba yao ambayo pamoja na kuwa nyumba lakini imekuwa aikitumika kama sehemu ya kufanyia biashara ya mabomba chakavu haoa ni eneo la Mtongani Mbagara karibu na daraja la Reli ya Tazara.
No comments:
Post a Comment