Tuesday, September 18, 2012

HARUSI YA DAVID NA MKEWE UPENDO ILIVYOFAANA JIJINI DAR.

Bwana harusi David Njombe na Mke wake jinsi walivyofunga ndoa yao mnamo tarehe 1 Septemba mwaka huu katika Kanisa Katoliki la Mwenge jijini Dar es Salaam na kufuatiwa sherehe kubwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Delux Sinza .Picha ya kwanza maharusi wakiwa na wapambe wao , yapili wakiwa katika pozi  David na Upendo. namba 3. Ukumbini stejini. no4. picha ya Familia ya  bibi harusi.KWA MAWASILIANO UKIWA NA SHUGHULI YOYOTE INAYOHUSIANA NA PICHA NA VIDEO PIGA NAMBA 0652204483.

No comments:

Post a Comment