Wednesday, September 19, 2012

MCHEZAJI ALIYEWIKA NA TIMU ZA SIGARA,RTC KAGERA NA MALINDI YA ZANZIBAR MICHAEL ATANASI AACHANA NA UKAPELA.

Mchezaji wa zamani Atanasi Michael hivi karibuni alifunga ndoa yake na mke wake Elizabeth Ibrahimu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Oysterbay. Atanasi aliwika miaka ya nyuma wakati akiwa katika timu za Sigara. Rtc Kagera,Malindi na Tanzania Stars.

Ndoa hiyo ilifungwa mnamo tarehe 8 mwezi huu mbele ya Paroko wa Parokia ya Mt.Petro Poul Mosha.

No comments:

Post a Comment