Tuesday, September 18, 2012

UTAFITI WA TWAWEZA WAKAZI WA DAR HAWAPATI HUDUMA BORA YA MATIBABU KATIKA HUSPITALI ZA SERIKALI.

Mkurugenzi waTwaweza Rakish Rajan akisisitiza jambo kuhusianan na utafiti wa Kidemografia na Afya Tanzania uliohusisha Huduma za Afya na Utendaji wa katika Dar es Salaam, ambapo utafiti huo ulifanyika katika kaya 550 katika Wilaya ya Temeke,Kinondonina Ilala Agosti na Septemba 2010.

Akiongea na waandishi wahabari Mtafiti wa Twaweza Nyankomo Marwa alisema wengi wa wananchi waliohujiwa walisema kuwa huduma zinazotolewa na Hospitali za serikali siyo nzurimkulinganisha na za watu binafsi pia huduma hizo hutolewa kwa rushwa. 

 Pia utafiti uliofanywa na Tanzania Demographic Helth Survey (DHS)WA MWAKA 2010 yanaonyesha uboreshaji mkubwa katika mambo  kadhaa ya afya . kwa mfano kiwango cha vifo vya watoto vimepungua na kuna kuongezaka kwa matumizi ya vayandarua ili kujikinga na malaraia  watoto wanne kati ya kumi waliao chini ya miaka 5 wana pata daw sahihi ya kutibu malaria ikiwemo kupata dawa ya mseto ,

Utafiti mwingine unaonyesha kuwa robo tatu ya dawazote za msingi zilizopita katika vituo vya afya ya serikali .


No comments:

Post a Comment