RAIS KIKWETE AANZA ZIARA YA MKOA WA KILIMANJARO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali na wananchi
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro leo
Oktoba 28, 2012 tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro
akianzia Wilaya ya Same.
No comments:
Post a Comment