Tuesday, October 9, 2012

RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALI HASSANI MWINYI KUZINDUA VITABU VYA HISTORIA YA MIAKA 20 YA CHUO KIKUU HURIA JIJINI DAR ES SLAAM, KESHO

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Prof: Tolly Mbwette akionyesha moja ya kitabu  kitakachozinduliwa kesho na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassan Mwinyi,Kitabu kimoja kinazungumzia  tathimini ya miaka 20 ya kupunguza Pengo la elimu Tanzania  na nje ya Mipaka ya Tanzania, Kitabu chapili kitakachozinduliwa Kinazungumzia Mapitio ya Jumla ya ubora wa Mfumo wa Uthibiti wa Maji  ya chupa na Dhima katika sekta Binafsi  katika Ugavi wa maji ya chupa Nchini Tanzania.

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Cha Tanzania Prof: Tolly Mbwette, akifafanua jambo kuhusiana na kitabu cha hsitoria ya miaka 20 ya Chuo hicho ambacho kitazinduliwa kesho na Rais mstaafu Ali Hassani Mwinyi.

No comments:

Post a Comment