Tuesday, October 23, 2012

WASHINDI WA TIGO SMATI CARD WAPATIKANA

Meneja wa Intaneti tigo Bw;Titus Kafuma akiongea na waandshi wa habari leo katika Hoteli ya JB Belmont jijini Dar es Salaam wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya wateja wanaotumia huduma ya tigo smati card ambayo imechezeshwa leo kwa mara ya kwanza mara ya droo hiyo kuanzishwa rasimi mwezi septemba mwaka huu ambapo washindi 42 wamepatikana huku washindi watatu kila mmoja amejishindia vocha ya shilingi 50,000 za kununua bidhaa kwenye maduka ambayo tigo itawaelekeza kununua bidha hizo huku washindi wengine wamejishindia tiketi za kuangalia mpira wengine sinema na wengine kwenda kwenye klabu za mziki na wengine wamejishindia tiketi kwa ajili ya mlo wa usiku katika hoteli ambayo tigo itawagaramia kilakitu.(PICHA NA PHILIMONI SALOMON).
 David Sekwao kushoto akichezesha Droo ya kupata mshindi wa Tigo Smart Cardjijini Dar es Salaam,ambapo wateja wanaotumia huduma ya Tigo Smati Card  washindi 42 wamepatikana huku washindi watatu kila mmoja amejishindia vocha ya shilingi 50,000 za kununua bidhaa kwenye maduka ambayo tigo itawaelekeza kununua bidha hizo huku washindi wengine wamejishindia tiketi za kuangalia mpira wengine sinema na wengine kwenda kwenye klabu za mziki na wengine wamejishindia tiketi kwa ajili ya mlo wa usiku katika hoteli ambayo tigo itawagaramia kilakitu.

fisa uhusiano wa tigo Tuli Mwaikenda (katikati)MkumboMyonga,(kushoto.)David Sekwao wakiteta jambo wakati wa Droo ya Tigo Smati Card iliofanyika hivi karibuni katika Hotel ya JB Belmont jijini Dar es salaam.
 Afisa usiano wa TigoTuli Mwaikenda  akisisitiza jambo wakati wa droo ya tigo smati card iliyochezeshwa hivi karibuni jijini Dar es Salaam, ambapo washindi 42 wamepatikana huku washindi watatu kila mmoja amejishindia vocha ya shilingi 50,000 za kununua bidhaa kwenye maduka ambayo tigo itawaelekeza kununua bidha hizo huku washindi wengine wamejishindia tiketi za kuangalia mpira wengine sinema na wengine kwenda kwenye klabu za mziki na wengine wamejishindia tiketi kwa ajili ya mlo wa usiku katika hoteli ambayo tigo itawagaramia kilakitu.
laam.

No comments:

Post a Comment