Baadhi ya wafanayakazi katika maduka yanayozunguka mitaa ya Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam, wakiwa hawana la kufanya baada ya matajiri wao kufunga bidhaa zao wakihofia kuibiwa wakati wa maandamano ya waislamu jijini leo
wakicheza draft huku maduka yakiwa yamefungwa
Askari wa jeshi la polisi wakiwa katika maandalizi ya kufanya doria kwa waanadamanaji watakao jitokeza hapa ni kituo cha polisi msimbazi
Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Msikiti wa Idirisa Kariakoo wakiimba takbiri.
Waumini wakiongozwa na mmoja wa Vichaa.
Askari wa kikosi cha kutuliza ghasia FFU akiwa amenyenyua bunduki juu iliyosheheni mabomu
Mtaa wa Agray ulivyokuwa ukionekana leo
Waandishi wa habari wakiwahoji waumini wa dini ya Kiislamumkatika msikiti wa mIdirisa huku wakiwa wamejifungia geti wakiogopo Mabomu.
No comments:
Post a Comment