Hawa Sulemani
akijisomea moja ya vipeperushi vya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania baada
ya kugawiwa katika semina ya Majukumu ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki
iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia kwa
kuwashirikisha viongozi mbalimbali wa wilaya hiyo.
Baadhi ya Washiriki wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki
iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia
wakijisomea majaridi yenye ujumbe mbalimbali na Kazi za Mamlaka hiyo. Baaada ya kugawiwa
na Mhasibu wa TCRA BW.Patrice Lumumba.
Mhandisi Masafa
Kanda ya Mashariki Shukyu Kiroga akitoa mada ya Mfump mpya wa Utangazaji toka analojia
kwenda Digital viongozi mbalimbali toka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia wakati
wa semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyuofanyika
wilayani Mafia.
Mhandisi Masafa
Kanda ya Mashariki Shukyu Kiroga akitoa mada ya Mfump mpya wa Utangazaji toka analojia
kwenda Digital viongozi mbalimbali toka Halmashauri ya Wilaya ya Mafia wakati
wa semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyuofanyika
wilayani Mafia.
Washiriki wa semina ya Majukumu ya Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia
wakishiriki katika zoezi la kutambua simu bandia.wakati walipokuwa wakionzwa na
Afisa Utumishi Mkuu Esuvatie Masinga (hayupo pichani)
Mkuu wa Wilaya ya Mfia Sauda Mtondoo
akimkabidhi Prudence Nyombi zawadi ya
King’amuzi cha Star timu baada ya kujishindia kutokana na kujibu swali
aliloulizwa juu ya matumizi ya Mawasiliano, wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka
ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyofanyika Wilayani Mafia.katikati ni Mkurugenzi
wa Watumiaji na Watoa Huduma za Mawasiliano Dk. Raymond Mfungahema akishuhudia.
Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania
(TCRA)Patrice Lumumba akiwagawia baadhi ya washiriki wa Semina ya Majukumu ya
Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki vipeperushi na majarida yenye ujumbe
mbalimbali iliyofanyika katika Wilaya ya
Mafia.
0
Mkurugenzi wa Watumiaji na Watoa Huduma za
Mawasiliano Dk. Raymond Mfungahema akimkabidhi zawadi ya simu aina ya Nokia
Mkuu wa Wilaya ya Mafia Bi,Sauda Mtondoo wakati wa Semina ya Majukumu ya
Mamlaka ya Mawsiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika
Wilaya ya Mafia.
No comments:
Post a Comment