Friday, March 30, 2012

MAWAKALA WA MISS TANZANIA WAPEWA DARASA.

Mawakala wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2012, wakiwa katika picha ya pamoja na Viongo wa Lino International Agencyzi wakati wa semina elekezi ya maandalizi ya shindano hilo , iliyofanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Giraff jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga akifafanua jambo wakati wa semina ya mawakala wa mashindano ya urembo ya Redd's Miss Tanzania 2012 iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Miss Tanzania 2011, Sarha Israel na Meneja wa kinywaji cha Redd,s Victoria Kimaro.
Baadhi ya Mawakala wa Shindano la Redd's Miss Tanzania 2012 wakiwa katika semina elekezi ya maandalizi ya shindano hilo , katika Ukumbi wa Hoteli ya Giraff jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment