Saturday, March 3, 2012

TUMERUDI TENA KATIKA ULINGO WA HABARI MOTOTO MOTO .

CHAKULA CHA MBWA MWITU (DOG CONS) Mtayarishaji wa Chakula cha Mbwa Mwitu,Joseph Onesmo akiandaa chakula cha wanayama hao.Kwa siku moja mbwa mwitu mmoja hula kilo 1 ya nyama ya Mbuzi.

Albart Jackson kushoto akiwa na Mjomba wake baada ya kukutana kwa mara ya kwanza katika eneo la Mto wa Mbu ,Wilayani Monduli mkoani Arusha.



Kijana huyu aliyejitambulisha kwa jina la Anthony Samwel,akiwa amepozi katika jiwe ambalo linaminika kuwa ni la ajaabu ambalo wakazi wengi wa eneo hilo la Mto wa Mbu wanaliheshimu sana kutokana na mazingara yanayotokea katika jiwe hilo.





No comments:

Post a Comment