Tuesday, March 27, 2012

VODACOM YAKABIDHI MRADI WA MAJI WENYE THAMNI YA SHILINGI MILIONI 40. D ODOMA

Baadhi ya wakazi kijiji cha Inyumbu Mkoani Dodoma waliohudhuria sherehe ya uzinduzi wa kisima cha maji salama uliojengwa na V odacom Foundation


Eneo la visima vya maji safi vilivyochimbwa na Vodacom Tanzania.


Mkazi wa kijiji cha Inyumbu Mkoani Dodoma Bw.Samwel Chindombwe akisalimiana na Mkuu wa Mfuko wa kusaidia jamii wa Vodacom Tanzania(Vodacom Foundation) Yessaya Mwakifulefule,baada ya kukabidhi msaada wa mradi wa maji wenye thamani ya shilingi milioni 40 katika kijiji hicho.

No comments:

Post a Comment