Monday, April 23, 2012

KATIBU MKUU WA CUF SEIF SHARIF HAMAD NA MBUNGE WA WAWI HAMAD RASHID USO KWA USO IKULU.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambate pia ni Katibu Mkuu wa CUF,Seif Sharif Hamad kushoto na Mbunge wa Jimbo la Wawi CUF,Hamad Rashi  wakijiandaa kusalimiana hivi karibuni wakati walipokutana katika hafla ya kuapishwa Wajumbe wa Time ya Kukusanya Maoni ya Katuba Mpya Ikulu jijini Dar es Salaam,
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambate pia ni Katibu Mkuu wa CUF,Seif Sharif Hamad kushoto na Mbunge wa Jimbo la Wawi CUF,Hamad Rashi wakisalimiana hivi karibuni wakati walipokutana katika hafla ya kuapishwa Wajumbe wa Time ya Kukusanya Maoni ya Katuba Mpya Ikulu jijini Dar es Salaam.(Picha na Albart Jackson) ndiye aliyefanikiwa kupata picha hiyo pekee.
 Mfanyabiashara wa dawa za miti shamba mbalimbali Rama Wakitengo, akiuza dawa zake katika soko la Manzese darajani jijini Dar es Salaam kama alivyokutwa na kamera yetu.
Vijana wanaojihusisha na ubebaji wa mizigo katika soko la Manzese jijini Dar es Salaam, wakiwa wamebeba tenga la kuku kwa staili ya aina yake.(PICHA ZOTE NA ALBART JACKSON) 

No comments:

Post a Comment