Tuesday, April 10, 2012

MAZISHI YA KANUMBA YAONYESHA THAMANI YA WASANII WA TANZANIA.

Mama mzazi wa Kanumba akiaga mwili wa mwanae wakati wa mazishi katika makaburi ya Kinondoni.
Mwili wa marehemu Steven Kanumba ukishushwa kaburini katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Mwili ukiwa tayari wamesha shushwa ndani ya Kaburi katika makaburi ya Kinondoni.
Watu wakiwa hawaamini kilichokuwa kikiendelea katika makaburi ya Kinondoni.
Mama na ndugu wa karibu wa marehemu Steven Kanumba wakitoa heshima zao za mwisho kwa mwanao katika makaburi ya Kinondoni.

No comments:

Post a Comment