Askari Polisi wakiwa katika ulinzi mkari eneo la makaburi ya Kinondoni wakati wa maziko ya Steven Kanumba.
Umati wa watu wakiwemo usalama wakilisukuma gari lililobeba mwili wa marehemu Kanumba kutoka Leaders hadi Kinondoni makaburini.
Mama wa Steven Kanumba kulia akiwa na Asha Baraka wakati wa Ibada ya Kuaga mwili wa mwanaea eneo la Leaders Club.
Kwenye wingi wa watu hapakosi kasolo mmoja wa kijana ambaye alisadikiwa kuwa ni kibaka akiwa amekamatwa na walizi maalumu.
Watu wengi hasa akina dada wamezimia sana na wengine wanahofia kupoteza maisha yaho.
No comments:
Post a Comment