Tuesday, April 10, 2012

MAZISHI YA MSANII WA FILAMU TANZANIA STEVEN KANUMBA AZIKWA KATIKA MAKABURI YA KINONDONI DAR ES SALAAM, UMATI WA WATU WAFULIKA KATIKA MAZISHI YAKE.

Ndugu wa marehemu ambaye ni mbunge wa John Shibuda akishiriki katika mazishi ya Steven Kanumba leo katika makaburi ya Kinondoni.


Mmochungaji wa kanisa aliulokuwa akisali Steven Kanumba akipanda masalaba katika mazishi ya msanii huyo yaliyofanyika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.



Kaburi likiwa katika hatua za mwisho.


Wajenzi wakichanganya cement na kokoto tayari kumalizia ufukiaji wa kaburi alimolala ndugu yetu Steven Kanumba ,Bwana Ametwaa jina lake ribalikiwe Amen.




Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Meck Said akiwa ni miongoni mwa wananchi waliojitokeza katika mazishi ya msanii wa filimu Steven Kanumba.

1 comment:

  1. Stephen Kanumba, Mungu airehemu roho yako. Mimi ni mmoja wa mashabiki wako uliowadondoa kutoka kutazama filamu za Kinijeria, kwa ajili lugha ya Kiswahili ulioitumia na umahiri wako wakupokezana habari wewe mwenyewe kutoka kwa hisia zako na matarajio ya watazamaji ulitubamba. Wazungu husema: you went so soon. Tutakukosa. Filamu ya kutabiri kifo chako hebu na iletwe Kenya haraka iwezekanavyo.
    gladochegs@gmail- Gladys Chegenye, Nairobi, Kenya

    ReplyDelete