Friday, April 20, 2012

WAPENDANAO KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KUFUNGA NDOA.

Bwana harusi Wiliam Anthony akiwa na Mkewa Agnes wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kufunga ndoa yao katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Dominic la Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. Picha na Albart Jackson.

No comments:

Post a Comment