Monday, April 23, 2012

MAMMBO YA MITAANI LEO.

 Vijana wanaofanya baishara katika Soko la Big Brother wakiwa hawana la kufanya baada ya kuvunjiwa Vibanda vyoa na mgambo wa Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni Hivi karibuni.
 Akina mama wanaojihusisha na biashara ya uuzaji wa vitumbua na maandazi katika eneo la kituo cha mabasi cha posta mpya jijini Dar es Salaam.
Askari Mgambo wa Halmashauri ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, wakiwa katika opresheni ya kuwakamata waendesha pikipiki maarufu kwa jina la boda boda katika mtaa wa Msimbazi, Kariakoo jijini Dar es Salaam.
MPANGO WA CHAKULA SHULENI UMEFIA WAPI?:
Wanafunzi wa shule ya msingi Diamond ya jijini Dar es Salaam, wakipata chakula kwa mama lishe anayefanya biashara zake pembezoni mwa shule hiyo ambapo sahani moja huuzwa kwa shilingi 500. (Picha na Albart Jackson).

No comments:

Post a Comment