Friday, May 18, 2012

 Baadhi ya ndugu wa marehemu Patrick Mafisango wakiwa katika simanzi kubwa wakati wa kuuaga mwili  katika Viwanja vya Tcc Cahangaombe.
 Umati wa watu ukiwa katika hek heka ya kuaga mwili wa marehemu Mafisango.
 Gari likiwa rimesubilia kubeba mwili wa marehemu kuelekea Airport.

   Meneja Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa (kushoto) akimkabidhi Mjumbe  wa kamati ya Utendaji na Makamu Mwenezi wa Kamati ya Fedha wa Simba Said Pamba Shilingi Milioni 1. Lambilambi hiyo ilitolewa na Vodacom ambao ndiyo wadhamini wa lingi Kuu. katikati ni Afisa Udhamili wa Kampuni hiyo Ibrahim Kaude.


 Mashabiki wa Simba wakimsindikiza Mchezaji wa timu hiyo Haruna Moshi ambaye ni kipenzi cha marehemu Patrick.
Umati wa maelfu uliohudhulia kuaga mwili wa marehemu Mafisango

No comments:

Post a Comment