Mwili wa aliyekuwa mchazaji wa simba Patrick Mafisango ukiwa katika jeneza kabla ya kuagwa.
Wachezaji wa Timu ya Taifa Taifa Stars wakiwa katika huzuni nzito .
Mwenyekiti wa Simba akifarijiwa na Mshabiki mkubwa wa Simba Profesa Salungi kulia.
Jeneza lililohifadhi mwili wa marehemu Mafisango .
Nohadha wa Simba Juma Kaseja akilia kwa uchungu huku akisaidiwa na mmoja wa viongozi wa simba, Maesto.
No comments:
Post a Comment