- . Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki ashiriki katika Semina ya Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari ilyohusu utengenezaji wa anuani katika jiji la Dar es Salaanm,iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA)
03. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki (kulia)
akiandiwa katika Semina Wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari waliohudhuria semina ya Anuani katika Mkoa wa Dar es Salaam,iliyoandaliwa
na Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA) katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa Mamalaka hiyo
Profesa John Nkoma.(Picha na Albart Jackson).
No comments:
Post a Comment