MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA(TCRA) YA FADHILI MASOMO YA UHANDISI WA TEKNOLOJIA HABARI NA MAWASILIANO KWA WANAFUNZI NANE.
Mkurugenzi wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma, wa pili ( kushoto) akiwaonyesha komputa baadhi ya wanafunzi waliopata ufadhili wakusoma uhandisi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) Jumla ya wanafunzi Nane kutoka Vyuo vya Ardhi, Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,wamenufaika na ufadhili huo wa kusomeshwa na TCRA hadi watakapohitimu masomo yao ya Uhandisi Teknolojia ya Habari na Mawasiliano .(Picha na Albart Jackson
03 Mkurugenzi
wa Mamalaka ya Mawasiliano Tanzania Profesa John Nkoma (kulia) akimkabidhi Muhagachi Chacha, Laptop, baada ya kupata dhamini wa kusomeshwa na TCRA Masomo ya uhandisi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT) jumla ya wanafunzi Nane Jumla ya wanafunzi Nane kutoka
Vyuo vya Ardhi, Dodoma na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam,wamenufaika na
ufadhili huo wa kusomeshwa na TCRA hadi watakapohitimu masomo yao.
No comments:
Post a Comment