.Adelina Aloyce ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya ADE FASHION Designer akiwaonyesha moja ya nguo zake wateja waliofika katika banda lake katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam
.Mkurugenzi wa Equator Natural Cosmetics Mrs Liwa akiwaonyesha wateja wake waliofika katika banda lake jinsi ya kutumia Lotion ya kitanzania inayojulikana kwa jina Sanda Luwood, ambayo inatumika kwa kulainisha ngozi vizuri katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
04.Meneja wa Kampuni ya Designer Glass Beads Febronia Mihuwa akimuonyesha Tula Mkemwa njisi ya kumechisha shanga ya shingoni na mkoba wakati alipotembelea katika banda lake katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Mmoja wa wafanyakazi wa Kampuni ya ADE akionyesha moja ya gauni la vitenge lililo Designiwa na (katikat )Adelina Aloyce ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya ADE FASHION Designer akiwaonyesha moja ya nguo zake wateja waliofika katika banda lake katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
Adeka akiwa na wateja wake /
Adelina Aloyce ambaye ni Mkurugenzi wa Kampuni ya ADE FASHION Designer akiwaonyesha moja ya nguo zake wateja waliofika katika banda lake katika maadhimisho ya Siku ya Afrika yanayoendelea katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment