Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano.Sayansi na Teknolojia January Makamba akipokelewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma, wakati alipotembelea Makao Makuu ya ofisi za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania zilizopo jengo la Mawasiliano Taower Sinza ,barabara ya Sam Najoma jijini Dar es Salaam.kujionea shughuli zinazofanya na Mamlaka hiyo.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Januari Makamba akimsikiliza Mhandisi Mfawidhi wa Mawasiliano ya Redio wa Mamlaka ya Mawasilioano Tanzania. Mhandisi,Johannes Magesa wakati alipokuwa akitoa maeleza juu ya kutambua muingiliano wa mawasilia kwa frequecy za redio wakati waziri huyo alipotembelea TCRA kujionea shughuli zinazofanya na Mamlaka hiyo . kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Profesa John Nkoma.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia January Makamba ( kulia) akimsikiliza Mhandisi wa TCRA Ikuja Jumanne wakatim aliokuwa akionyeshwa kifaa cha kupimia Masafaa ya Redio na TV.wakati aliopotembelea TCRA .
Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia January Makamba ( katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawsiliano Tanzania Pfrofesa John Nkoma, wakionyeshwa na Meneja wa Mipango na Utafiti wa TCRA Dk.Ali Simba kifaa kinachotumika kupimia mionzi ya minarambalimbali hapa nchini.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia January
Makamba ( katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawsiliano Tanzania
Pfrofesa John Nkoma, wakionyeshwa na Mhandisi Mfawaidhi wa utawala wa Freguency Joel Chacaha, jinsi wanavyo rekodi muda unatumika kupiga simu ambaop mwaka jana jumla ya dakika zilizotumika kupiga simu zilikuwa Bilioni 20.
Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia January
Makamba ( katikati) Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawsiliano Tanzania
Pfrofesa John Nkoma.
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania wakimsikiliza kwa makini Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano ,Sayansi na Teknolojia January
Makamba, allipotembelea Makao Makuu ya TCRA.
Sayansi na Teknolojia January
Makamba, akiongea na wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzani.
Baadhi ya Wakuu wa Idara mbalimbali wa Mamlaka ya Mawasiliano wakiwa katikapicha ya Pamoja na Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia January Makamba watatu kutoka (kushoto) na Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Profesa John Nkoma wa Nne kutoka (kushoto).
No comments:
Post a Comment