Hayawi hayawi yamekuwa Bwana harusi Hussein na mkewa wakinyweshana Shampeni wakati wa sherehe ya harusi yao iliyofanyika katika Hoteli ya Chichi jijini Dar es Salaam, hivi karibuni. Bwana harusi ni mfanyakazi wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.
Bwana hussein na mkewe wakilishana Kike katika sherehe ya harusi yao iliyofanyika hivi karibuni katika Hoteli ya Chichi iliyopo Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Huseein na mkewe wakiwa katika pozi la picha.
Duuuuu, wakipozi katika picha baada ya kufunga ndoa yao.
No comments:
Post a Comment