Friday, June 1, 2012

JUMLA YA VIJANA ZAIDI YA 50 HUFA KATIKA MKOA WA KINONDONI KUTOKANA NA AJARI ZA PIKIPIKI AU BODABODA.

 Mmoja wa vijana aliyepata ajari ya pikipiki akifarijiwa na ndugu zake ,ajari hiyo ilitokea May 25 eneo la Kibanda cha Mkaa Mbezi,gari la Polisi  difender ndilo lililosababisha ajari hiyo ambapo kijana aliyefahamika kwa jina la   Fidelis Balinga akiwa amempakiza rafiki yake wakike walivunjika miguu yao yote, hata askari hao waliwakimbiza katika hospitali ya Tumbi ,baadaye wakapewa rufaa ya kupelekwa muhimbili MOI, Tarehe 26 may Fideris alifariki dunia majira ya saa 10;30.
 Fidelis Balinga akifarijiwa na ndugu zake kabla ya kufariki tarehe 27 mwazi May 2012, kifo chake kimetokana na ajari ya pikipiki baada ya kugongwa na gari la Polisi Defender eneo la kibanda cha mkaa Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
 Mmoja wa Majeruhi wa usafiri huo
 Majeruhi wakiwa katika wodi ya sewa haji Muhimbili Hospitali jijini Dar es Salaam.
Huyu Dada alipata ajari akiwa na Rafiki yakewa Kiume aliyejulikana kwa jina la Fidelis Balinga ,dada huyu kavunjika mihguu yake na mwenzake amefarki sasa.kutokana na ajari nyingi za pikipiki SP Mwangamila wa kanda ya kipolisi mkoa wa Kinondoni alisema kuwa pikipiki zaimekuwa zikikatili sana maisha ya vijana wetu kwa mwezi wa Tano jumla ya Vijana  49 ambao ni wa eneo la kipolisi Kinondoni waendesha pikipiki wamepoteza maisha yao.

No comments:

Post a Comment