Umati wa watu ambao wamekuwa wakijitokeza katika mikutano ya Chama cha Chadema.
Mabango mbalimbali yakiwa na ujumbe kwa chama cha CCM
Vijana ndio Taifa la kesho lakini chadema wanasema Vijana ndio Taifa la leo.
Peoples Power wafuasi wa Chama cha Chadema wakifuatilia moja ya mikutano inayoendelea hapa nchini ikiwa na ujumbe wa Vua Gamba vaa Gwanda.
No comments:
Post a Comment