Sunday, June 3, 2012

RAIS KIKWETE AKUTANA NA RAIS WA SOMALIA ARUSHA LEO


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Sheikh Shariff Ahmed aliyekutana naye leo june 2, 2012 jijini Arusha.Pamoja na mambo mengine Rais Kikwete na mgeni wake waliongelea hali ya usalama katika nchi hiyo ya pembe yaAfrika na pia akamhakikishia Rais huyo ushirikiano wa kila aina katika kuhakikisha utulivu unarejea nchini Somalia.(Picha na Ikulu.)

No comments:

Post a Comment