Picha mbalimbali za Onyesho la muziki wa Classical Concert lililoandaliwa na Dar Choral Society with Orchestra na kudhaminiwa na AIRTEL zikionyesha njisi wanakwaya hao walivyoiteka mioyo ya watanzania katika ukumbi wa maonyesho ya kimataifa makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam,
Onyesho hilo lilihusisha Orchestra kamili na kwaya ya Dar Choral Cosiety iliyoanzishwa miaka ya 1940 Muungano wa kwaya na Orchestra uliongozwa na Mtanzania Hekima Raymond.
No comments:
Post a Comment