HARUSI YA JOSHUA NA MKEWE BRIGGETY ILIVYOFANA.
H
arusi ya Joshua Saimon na mkewe Briggety Mwazembe iliyofanyika katika Kanisa la Molovian Ukonga na kufuatiwa na Sherehe kubwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Landmark Hoteli jijini mDar es Salaam, Bibi harusi ni mfanyakazi wa Kampuni ya Ladyband inayochapisha magazeti ya Changamoto na The Football. na Bwana harusi shughuli zake nziko nchini Marekan USA.
No comments:
Post a Comment