Sunday, June 3, 2012

MALEZI MEMA YA WAZAZI NDIYO NGUZO YA MTOTO.

Mtoto Sharon Mwakifulefule alivyosherehekea miaka yake  Mitatu ya kuzalia kwa kutoa msaada wa vyakula kwa watoto wenzake wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund cha Mbagala Chamanzi jijini Dar es Salaam, Jumla ya vitu mbalimbali vilitolewa ikiwemo Joice na mchele ,Mtoto huyo aliongozana na Wazazi wake Dorothy Mwakifulefule ,Timoth Mwakifulefule na baba yake Yessaya Mwakifulefule.

No comments:

Post a Comment