Sunday, June 17, 2012

KAMPUNI YA ELEMENTS EVENTS ILIVYOANDAA HAFLA YA WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI YA DAR ES SALAAM INDEPENDENT YA KUHITIMU KIDATO CHA NNE NA CHA SITA.

 Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Dar es Salaa, Independent School. wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuingia katika ukumbi wa Litre Theatle Oysterbay ,wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidato cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events ya jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Elements Events Saida Kapinga akitoa maelezo kwa wanafunzi juu ya ushiriki wao katika hafla hiyo.
 Michael Kapinga na akiwa na mwanafunzi mwenzake wakionyesha vipaji vyao vya ubunifu wa mavazi.
 Michael Kapinga akikonyesha umahili wake wa kuimba wimbo wa Akon uitwao I tried,wakati wa hafla ya kujipongeza kwa wanafunzi wa  shule hiyo kwa kuhitimu Kidato cha Nne na Cha Sita.
 Hakuna kulala mziki kwenda mbela .
 Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Dar es Salaam Independent iliyo jijini Dar es Salaam,Owen Karonga na Carine Maro ambao waliibuka washindi kwaa kuwanadhifu katika hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na cha sita iliyofanyika katika Ukumbi wa Litre Theatle Oysterbay ,Kulia ni Mkurugenzi wa Elements Events Saida Kapinga ambaye ndiyealiyeandaa hafla hiyo.kushoto ni Mwalimu wa Wanafunzi hao.
  Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya jijini Dar es Salaam, wakionyesha vipaji vyao vya kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events katika Ukumbi wa Litre Theatle.
 Wanafunzi wa Shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya jijini Dar es Salaam,carine Maro ambaye aliipuka Mshindi wa kuvaa vizuri kwa upande wa wasichana na Owen Maronga ambaye pia aliibuka mshindi kwa upande wa wanaume wakionyesha vipaji vyao vya kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya Kidato cha Nne na Cha sita hafla hiyomiliandaliwa na Elements Events ya jijini Dar es Salaam.
 Mama Kapinga,Saida Kapinga akimuonyesha Norma namna ya kufungua Shampeni wakati wa hafala yao ya kuhitimu kidato cha Nne na Sita.
 Msanii wa muziki wa kisasa Mon Rock akimfanyaia Intervew Michael Kampinga ambaye alionekana kupagwaisha zaidi katika paty ya wanafunzi hao.
 MICHAEL Richadi Kapinga  akiimba wimbo wa Akon uitwao Itried ,wakati wa hafala hiyo katika ukumbi wa Litre Theatle jijini Dar es Salaam.
 Wanao vutia wakiwa katika picha ya pamoja .Owen Karonga naCarine Maro pamoja na Mama Kapinga ambaye ndiye mwanadaaji wa hafla hiyo.
 Wee acha hiyooooooooo, vipaji hatari hiyvyo.
 Michael Kapinga akihojiwa na Mon Rack (kulia) baada ya kuonyesha kipaji cha hali ya juu cha kuimba,wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events iliyofanyika katika Ukumbi wa Litre Theatle Dar es Salaam.
 Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dar es Salaam Independent ya jijini Dar es Salaam, wakionyesha vipaji vyao vya kusakata muziki wakati wa hafla ya kujipongeza kwa kumaliza elimu ya kidaoto cha Nne na Sita iliyoandaliwa na Kampuni ya Elements Events katika Ukumbi wa Litre Theatle.

No comments:

Post a Comment