Monday, June 11, 2012

MWASISI WA CHADEMA MARK BOMANI ALIVYOAGWA JIJINI DAR ES SALAAM.

 Jeneza lililbeba mwili wa Mark Boman likiwa katika viwanja vya Karmjee jijini Dar es Salaam, kabla ya kusafrishwa kwenda kuzikwa huko Shinyanga.
 Wafuasi wa Chama cha Chadema wakiwa wamebeba jeneza la mwaili wa Mark Boman
 Rais Jakaya Kikwete akikalibishwa na Katibu Mkuu wa Chadema Dr, Slaa wakati alipowasili katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam,
 Makamu wa Rais Dr. Bilal akisalimiana na Mweneykiti wa Chadema Filimon Mbowe.
 Mwenyekiti wa Chama xha CUF Profesa Ibrahim Lipumba akitoa salaam za lambilambi kwa naiaba ya vyama vya upinzani.
 Katibu Mkuu wa Chama cha CCM Wilson Mkama akiteta jambo na Mama Anna Mkapa.

Juu Mbunge wa jimbo la Kawa Halima Mdee akiwa na wafuasi wa Chama hicho.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwenyekiti wa Chadema Filimoni Mbowe.Katibu Mkuu wa Chama hicho Dr, Slaa, na Makamu wa Rais Dr,Bilal wakati wa kuaga mwili wa Mark Boman katika viwanja vya Karimjeejijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment