Saturday, June 23, 2012

MAISHA NA MIKASA JIJINI DAR.

Vijana wanaojihusisha na uokotaji wa chupa chakavu za maji  na vyuma chakavu wakiwa katika soko lao la kuuzia bidhaa yao hiyo eneo la Mabibo Ubungo jijini Dar es Salaam, kutokana na kuwepo kwa soko la chupa hizo kumelifanya jiji la Dar es Salaam, kuwa katika hali ya usafi tofauti na zamani  pia vijana hao wamekuwa wakijipatia riziki na kuachana kabisa na kazi ya ukabaji.
HATARI UMEME .Dada huyu akipita katika ngazi ambayo imetengenezwa kama njia kutokana na kukosa sehemu ya kupita baada ya majirani kuziba njia za kupitia hapa ni eneo la Kinondoni Mkunguni karibu na Kanisa Katoliki la Hananasif,

No comments:

Post a Comment