Monday, June 25, 2012

PRECISION AIR YAZINDUZ SAFARI YAKE YA ZAMBIA KUPITIA LUBUMBASHI.

 Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Precision Air, Alfonse Kioko akizungumza
wakati wa tafrija ya uzinduzi wa safari za Shirika hilo la ndege jana
kutoka Dar es Salaam hadi Lusaka Zambia kupitia Lubumbash.Hafla hiyo
iliyofanyika katika mji wa Lusaka Hoteli ya Taji Pamodz.
  Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Grace Mujuma akizungumza wakati wa uzinduzi huo.
 Meneja Mkazi wa Afrika ya Kati wa Kampuni ya Precision Air, Emmanuel Mathias Ng'andu akiwa na Meneja Maweasiliano wa Kampuni hiyo Anneth Nkini wakati wa tafrija hiyo.
Mkurugenzi Mkuu na CEO wa Precision Air, Alfonse Kioko akisakata dansi na baadhi ya wafanyakazi wa Shirika hilowakati wa tafrija ya uzinduzi wa safari za Shirika hilo la ndege jana kutoka Dar es Salaam hadi Lusaka Zambia.

No comments:

Post a Comment