Monday, June 25, 2012

Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi Mhe, Mohamed Abdelaziz amaliza ziara yake hapa nchin.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi Mhe, Mohamed Abdelaziz katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Jumapili Juni 25, 2012 mbapo gwaride la Kijeshi na ngoma za utamaduni zilimlaki kwa nderemo. Rais huyo amemaliza ziara yake leo na amerejea nchini kwake .PICHA NA IKULU.
Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Sahrawi Mhe, Mohamed Abdelaziz  akiwa na mwenyeji wake Rais Jakaya Kikwete wakiangalia  ngoma za utamaduni  baada ya kuwasilia katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam Jumapili Juni 25, 2012.

No comments:

Post a Comment