Wednesday, June 6, 2012

MATUKIO YANAYOIKUMBA JAMII YA WATANZANIA HASA JIJINI DAR ES SALAAM.

 Vijana wakitenegeneza mishikaki tayari kwa kwenda kufanyabiashara katika mitaa ya jiji la Dar es Salaam, kilo moja ya nyama hununuliwa kwa shiringi 7500, kwa upande wao mshikaki mmoja huza kati ya 150hadi 200.
 Baadhi ya Vijana wanaofanyabiashara ya kuuza mishikaki katika maeneo mbalimbali katika jiji la Dar es Salaam, wakipanga mishikaki yao baada ya kuinunua kwa bei ya jumla katika soko la machinjioni lililopo maeneo ya Mabibo machinjioni eneo hilo Tanesco wamekuwa wakiwakataza kufanyabiashara hapo.
  Maisha ni Ubunifu kijana akitafuta wateja katika eneo la Mabibo jijini Dar es Salaam.
Ubunifuu wa ajabu kijana akijitafutia ridhiki yake kwa kutembeza nguo kwa stairi yake.
 Ujasiliamali ,kijana akipita katika mitaa ya Mabibo akiwa na duka lake linalotembea likiwa limesheheni ngua na bidhaa mbalimbali, ubunifu huu ni waina yake baada ya kufukuzwa katika eneo la Tansco Ubungo jijini Dar es Salaam.
 Mfanyabiashara ya Tigo Pesa Adam Stephin Mabiki anayefanyabiashara yake eneo la Mabibo akimhudumia mmoja wa wakazi wa eneo hilo namna ya kuweka salio kwenye simu yake ya Tigo, huduma hii imekuwa ikiwarahishia wakongwe kupata namna ya kuhifadhi pesa zao.
 Kijana ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiwa amepakia baiskeli kwenye pikipiki yake huku akipta eneo hatari chini ya waya za umeme mkubwa Ubungo.
Tanesco hivi karibuni ilitangaza kuwa watu wote waliojenga chini ya nyaya za umeme mkubwa wahame pichani ni baadhi ya nyumba zilizopo eneo la Ubungo Darajani zikiwa zimebvunjwa ikiwa ni mutiifu wa taarifa hiyo lakini zoezi hilo linaonekana kuwa gumu kutokana na watu kugomea zoezim hilo.

No comments:

Post a Comment