Balozi wa Afrika Kusini Hapa nchini Thanduyise Chiliza kulia akiongea na Afisa Mahusiano ya Mahusiano ya Jamii Mwamvita Makamba kushoto katikati ni Mweneyekiti wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Peter Moyo kutoka Afrika Kusini akiwasikiliza kwa makini wakati walipokwenda kutembelea katika Ubalozi huo jana.

Waziri wa Mawasiliana,Sayansi na Teknolojia Makame Mnyaa Mbawala (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mweneyekiti wa Kundi la Makampuni ya Vodacom Peter Moyo,(kushoto) na Afisa Mkuu Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza wakati walipotembelea wizara yaMawasiliano ,Sayansi na Teknolojia leo Mwneyiki huyo yuopo nchini kwa ziaraya ya kikazi ya siku tatu. Picha ya Chini Waziri Makame Mnyaa akisalimiana na Afisa Mkuu Mtendaji Rene Meza leo ofisini kwa Waziri huyo.
No comments:
Post a Comment