Baadhi ya Waislamu wakiingia katika Viwanja vya Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam, kwa maandamano huku wakiwa na mabango yenmye ujumbe mbalimbali ,maandamano hayo yana lengo la kupinga na kuishinikiza kamati ya baraza la Mitihani NECTA kujiudhuru kutokana na madai ya Waislamu kuwa Necta inawafelisha wanafunzi wa dini ya Kiislamu.
Hapa ujumbe kupitia mabango , hata hivyo hadi tunakwenda mitaamboni hakuana fujo zozote zilizotokea awali vyombo vya usalaama jeshi la polisi liliwaomba waifanya maandamano hayo.
Hapa wakimuunga mkono Katibu Mkuu wa Jumuiya za Taasisi za Kiislamu Shekhe Ponda. wakati aliopkuwa akiwahutubia.
Wafuasi wa Dini ya Kiislamu wakiwa na mabango yenmye ujumbe mbalimbali kwa baraza la mitihani Tanzania Necta.
No comments:
Post a Comment