Wachezaji watimu ya taifa ya Ghambia wakitoka katika mazoezi ya timu yao katika uwanja wa Karume jana.ocha wa timu hiyo abaye ni swahiba mkubwa watimu ya Manchester City ,Maneini Lueiano amesem kua timu yake itatumia mbinu zilizotumika katika mchezo wao na ti,u ya taifa ya Morocco ambayo walitokana nayo suruhu . pia ameipogeza taifa stars kwa kuwa na nakikosi mkuziru kutokana na mechi yao na everycoast iliyoifunga taifa stars mabao 2-0.
Kocha huyo amesema kuwa mchezo wao dhidi ya taifa stars kuwa utakuwamgumu kutokana na kikosi cha Taifa stars kuwa na nyoto wenye uwezo mkubwa.
GHAMBIA TIMU. Kocha wa timu ya Taifa ya Ghambia Maneini Lueiano akiwa katika mazoei na timu yake ya taifa katika uwanja wa akarume jana.mchezo wao na taifa star utafanyika kesho jumpili katikauwanja wa Taifa.
Kocha wa timu ya Ghambia Maneini Lueiano akihojiwa na Mohamed Zuberi katika uwanja w karume leo wakati wa timu hiyolipofanya mazoezi yaoatika uwanja w Karume jijini Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment