Friday, June 8, 2012

MAMLAKA YA ANGA WALIVYOWAAGA WASTAFU WAO USIKU WA KUAMKIA LEO.

 Wafanyakazi wakiselebuka kucheza muziki wakati wa hafla ya kuwaaga wastafu iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Cleopatra Quality Centre.
 Mmoja wa wake wa wastafu akionyesha zawadi alizopewa wakati wa hafala ya kuwaaaga wastafu iliyofanyika jijini Dar es Salaam,
 Wafanyakazi wa Mamlaka ya Anga wakitambulishana.
 Mweneyekiti wa bodi ya Mamlaka ya Anga Mwantumu Malare akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka hiyo Mr. Chacha.
 Menejimenti ya Mamlaka ya Anga wakiwa katika picha ya pamoja na wastafu wakati wa hafla ya kuwaaga baadhi ya wafanyakazi waliostafu.
 Mmoja wa wastafu wa Mamlaka ya anga akicheza mziki na mkewake wakati wa hafla ya kuwaaaga iliyofanyika usiku wa kuamkia leo jijini Dar Salaam.
 Kaimu Mkurugenzi wa Anga Mr.Chacha akimkabidhi zawadi mmoja wa wafanyakazi waliostafu wakati wa sherehe ya kuwaaaga iliyofanyika jana usiku.
 Mwenyekiti wa bodi Mwatumu Malare akiwakabidhi zawadi kwa wastafu wakati wa tafrija ya kuwaaaga iliyofanyika usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
 Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa Mamlaka ya Anga Mheshimiwa Mwantumu Malare (katikati)akiwa na viongozi wa ngazi za juu wa TCAA  katika tafrija ya kuwaaaga wastafu iliyofanyika jijini Dar es Salaam,
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya usalama wa anga TCAA wakijadiliana jambo wakati wa tafrija ya kuwaaga wafanyakazi waliostafu kazi ,sherehe hiyo ilifanyika katikaukumbi wa Cleopatra Quality Centre jijini Da es Salaam, usiku wa kuamkia leo.

No comments:

Post a Comment